MKURUGENZI WA EAST AFRICAN MELODY TAARAB AFARIKI DUNIA...!!

Mkurugenzi wa East African Melody Taarab Hadji Mohamed enzi za uhai wake.

Mkurugenzi wa East African Melody Taarab, Hadji Mohamed, amefariki dunia asubuhi hii baada ya kuugua kwa muda mfupi katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger