UKATILI: BINTI ANYONGWA NA BOYFRIEND WAKE KWA KUTUMIA SURUALI...!!


Tukio hili la kikatili limetokea huko Brazil (Cuiaba public square). Inasemekana kuwa binti huyo mwenye miaka 22 aliuawa na watu kisha wakamning'iniza kwa kutumia suruali yake aina ya jeans ili ionekane kama alijinyonga.

Wazazi wa binti huyo wanamshuku 'x-boyfriend' wake kuwa muhusika wa tukio hilo kwani hawakua na maelewano baina yao siku kadhaa kabla ya tukio.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger