WABUNGE WATAKA DAR IGAWANYWE MIKOA 3....!!



WABUNGE wa Mkoa wa Dar es Salaam wametaka serikali kuugawa mkoa wao na wilaya zake. Wamesema kwa sasa mkoa huo, umeelemewa na watu wengi na kusababisha foleni za magari kuwa kubwa pamoja na ujambazi kutikisa jiji hilo.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger