BREAKING NEWS: MAPIGANO MAKALI KATI YA WAENDESHA BODABODA NA WAIZI YANAENDELEA KATIKA KATA YA MBEZI JUU DAR ES SALAAM




Hili ni kundi la vijana waendesha bodaboda wakienda mtoni 

kumwokoa mwenzao ambaye wanadai ametekwa na wahuni 

wanaojificha mtoni na kukaba watu, mpaka sasa boda boda 

aliyetekwa yupo mwananyamala hospital na mmoja wa 

vijana wanaoaaminika kwamba ni vibakaba ameshauawa

Kuna mapigano makali eneo la kwa mzee Juma Kata ya Mbezi juu.

Habari zaidi zionasema kwamba Waendesha Bodaboda hao wanaendelea kupambana kwa kutumia silaha za jadi dhidi ya vijana wanaosemekana aidha ni vibaka au wameiba pikipiki ya mwenzao.

Hali ni mbaya majeruhi ni wengi na inasemekana kuna vifo vimetokea.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger