Mkurugenzi wa B Bendi Banana Zor (Kulia) akiwa na Stevene Nyerere.
Katika onyesho la bendi ya Malaika
lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mango Garden uliopo
Mwananyamala Daktari mmoja wa Meno wa Hospitali ya Mwananyamala aliye
fahamika kwa jina la Dk Christian alionyesha kuwa yeye sio bingwa wa
kungoa meno tu bali hata kurap Kidongo baada ya kuvamia jukwaa na kuanza
kuimba na Kurap
No comments:
Post a Comment