skip to main |
skip to sidebar
DIVA WA CLOUDS FM AMUWEKA HADHARANI MPENZI WAKE, SOMA HAPA KUMJUA ZAIDI
Mtangazaji wa clouds Fm , Loveness Malinzi ‘Diva’ ametangaza
uhusiano wake na nguli wa mziki wa bongofleva, King Crazy GK. Diva
ameamua kuweka wazi couple hii kupitia mtandao wa kijamii wa instagram
baada ya kuweka picha yake na GK huku akishushia na maneno kadhaa ya
kumpamba .
No comments:
Post a Comment