INTERVIEW YA NAFASI ZA KAZI RADIO FREE KUFANYIKA KESHO ASUBUHI KUANZIA SAA MBILI KAMILI ASUBUHI.



RADIO FREE AFRICA INATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA (PART TIME JOBS) KATIKA VITENGO VYA:-

1)UANDISHI WA HABARI
2)WATANGAZAJI
3) MA DJ'S
4)WATAYARISHAJI WA VIPINDI(PRODUCERS)

WAOMBAJI WAWE NA SIFA ZA TAALUMA HUSIKA KATIKA CHUO KINACHOTAMBULIKA NA WAFIKE NA VYETI VYAO HALISI KWENYE USAJILI UTAKAOFANYIKA ENEO LA STUDIO ZA RFA JIJINI MWANZA SIKU YA JUMATATU TAREHE 08/02/2014 KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI.


NYOTE MNAKARIBISHWA.!!!!

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger