KAMA ULIKUWA HUMJUI MREMBO ANAYESUMBUA AFRIKA MASHARIKI, BASI HUYU HAPA


                         Pozi za kufamtu yani pozi nzuri sana

                                  apo anafanyiwa makeup huku anaoneka baada ya make up

                                             akiwa jukwaani sasa....nishidar
                                            je ni photogenic jibu hili hapa ....she is photogenic
Mwanamitindo anaye fanya poa sana afrika mashariki kwasasa anaejulikana kwa jina la Upendo Mlayi,ameonesha  kuwa na ujio mkubwa sana kwakuwa na project nyingi,hukuakiwa ana afaakila idara ndani ya tasnia hiyo ya mitindo,hivyo kuwafunika wanamitindo maarufu akiwemo Joketi mwegelo...

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger