KILA SIKU NAPIGA PUNYETO ZAIDI YA MARA 4, NAOMBENI USHAURI NIFANYEJE?

Rafiki yangu alinifundisha kujichua ( kupiga pul) , sasa nimeathirika na tatizo hilo nikiwa na umri wa miaka 20 tu. 

Nimeshafanya tendo hilo kwa muda mrefu.Kwa siku huwa napiga tatu mpaka 4  kiasi  kwamba  haata  viungo  vyangu  vimechubuka. 

Nataka kuachana  na tatizo hili. Naomba mnisaidie ikiwa kuna dawa ya kupambana na tatizo hilo maana nimechoka na sihitaji kabisa kuendelea na tabia hiyo.

punyeto1
Punyeto

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger