ajira akiwa na umri mdogo na alipangiwa
kufanyia kazi katika mkoa wa
dodoma.akiwa dodoma alibahatika kupata
mpenzi kwa jina alikuwa anaitwa suzy
kabila lake alikuwa ni mgogo ni msichana
aliekuwa akisifiwa sana kwa urembo wake
mkoani hapo.

Walikuwa
wapenzi kwa muda wa miaka miwili wakaenda kutambulishana kwa wazazi na
hatimaye mipango ya kufunga ndoa ikawa imekamilika ikawa imebaki kama
mwezi mmoja. bibi yake tony akaenda kumtembelea mjukuu wake tony hapo
dodoma ilikuwa ni weekend suzy akaenda kulala kwa tony na bibi yake tony
akiwepo ilipofika usiku bibi yake tony aligundua kitu fulani asubuhi
yake alimwita mjukuu wake tony akampa pole na
akamcheka sana! akamuuliza unaroho ya uvumilivu?tony akakubali ndio.
bibi yake akamwambia chukua dawa hii utajipaka kwenye jicho la kulia kwa
siri utakapokuwa umeanza kufanya mapenzi na mchumba wako.tony
aliichukuwa ile dawa akaitunza ilipofika usiku akaandaana na mpenzi wake
alipoanza kufanya mapenzi akaichukua ile dawa akajipaka kwenye jicho la
kulia baada ya kujipaka dawa aliona anafanya mapenzi na fisi na mchumba
wake suzy yupo pembeni mwa kitanda amelala alipoona hivyo alijichomoa
kwa yule fisi akakaa pembeni kisha akamfuata mchumba wake akamwamsha na
kumuuliza wewe ni wakunifanyia hivi? Kwa kweli suzy hakuwa na la kujibu
haukupita muda bibi yake tony akawaita suzy na tony sebulen na kuanza
kumkanya suzy suzy alikiri kuwa hajawahi kufanya mapenzi na tony hata
siku moja siku zote tony alikuwa akifanya mapenzi na huyo fisi hivyo
anaomba amsamehe!wadau tony yupo kwenye mtihani mkubwa anaomba ushauri
afanyeje?
-GPL
No comments:
Post a Comment