KUSHIKWA NA MADAWA YA KULEVYA KWA MASOGANGE, JACK NA BROWN BERRY KWAZIDI KUWAPONZA WAREMBO WENGI AIRPORT. SOMA HAPA

Tangu kuwepo na wimbi la ongezeko la usafirishaji madawa ya kulevya imebainika kuwa mabinti wazuri wa kitanzania ambao hujaribu kwenda uwanja wa  ndege kusafiri kikazi wamekuwa wakikutana na usumbufu mkubwa kwani wanapekuliwa kupita maelezo hayo yamebainishwa na dada mmoja ambaye alitambulika kwa jina moja tu la Happy ambaye ni meneja masoko wa kampuni flani hapa mjini, najuta kuwa mzuri but what  can i do ....yani upekuzi nliokutana nao pale ndani God knows .... yani sijui wanahisi kila msichana mzuri ana tabia za hao kina ...,fkfnk[-o; anataja jina la video queen maarufu....  mpaka naona uvivu kusafiri jamani dah.. alimalza dada huyo85a7de969c6911e29c2822000a1fbe4c_7Mrembo Fatma aka Brown Berry katika posemtanzania-egypt-misri-kunyongwa-2Fatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanaeFatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger