
LAANA: MASHOGA WATIWA MBARONI KWA KOSA LA KUFANYA NGONO NDANI YA LIFT YA HOTEL MAARUFU MJINI
wanaume wawili nchini uberigiji
wamejikuta mikononi mwa polisi baada ya kushtakiwa kwa kosa la kufanya
mapenzi ndani ya lift. mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai wa nchi hiyo
alidai ya kwamba watuhumiwa hao walitenda kosa hilo usiku wa saa sita
katika hotel moja ya kitalii aliendelea kwa kusema kuwa tukio ilo
lilifikishwa mezani kwake mara baada ya kunasa picha zao wakiwa
wanajivinjali live... inasemekana mashoga hao wasiokuwa na haya walikua
wakidhani lift hiyo haina cctv camera na hivyo kuhisi akuna anayewaona
ivyo kuamua kufanya madudu yao bila uoga wowote... watuumiwa hao wako
mikononi mwa polisi wakisubiri kufikishwa mahakamani mda wowote kujibu
mashtaka yanayowakabili

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment