Sunday Mangu ‘Linex’ akiwa na mchumba wake Suvi Rikka.
SIKU
chache baada ya Mbongo Fleva, Sunday Mangu ‘Linex’ kumvisha pete ya
uchumba demu wake mtasha, Suvi Rikka, mama wa staa huyo, Imelda Barnabas
ameibuka na kumchana mwanaye kuwa haitambui pete wala mchumba huyo kwa
kuwa kitendo hicho hakina baraka zake wala za familia.
Shemeji yetu katika pose

Linex alipoulizwa juu ya sakata hilo, alifunguka:
“Yah! Bi mkubwa amenijia juu ile mbaya, ila najitahidi kumuomba msamaha, hope atanielewa.”
“Yah! Bi mkubwa amenijia juu ile mbaya, ila najitahidi kumuomba msamaha, hope atanielewa.”
No comments:
Post a Comment