
Mama Kanumba, Flora Mtegoa.
Akizungumza kwa kujiamini, mama Kanumba alisema: “Hili nalizungumza kutoka moyoni mwangu, huyu mtoto ana moyo wa upendo sana. Angalia namna anavyowasaidia wenzake wanapopata matatizo. Anajitoa kwa moyo, siyo mchoyo. Kwa kweli Mungu amwongezee.”
Wema
Sepetu.“Kiukweli Wema anajitoa sana... nakumbuka hata kipindi akiwa na
mwanangu, maana uhusiano wao niliutambua, Kanumba mwenyewe
alinitambulisha; walikuwa wakija kunisalimia nyumbani ananiita pembeni
na kunipa pesa ili Kanumba asione, akitaka na yeye anipe. Huo ni moyo wa
kipekee sana,” alisema mama huyo. Hiki ni kama kipindi cha mama huyo
kuonesha hisia zake kwa wakwe zake (wasichana waliowahi kuwa na uhusiano
na marehemu mwanaye) kwani takribani wiki tatu zilizopita,
alimzungumzia Lulu kwa maelezo kuwa alikuwa mkwe sahihi kwake. gpl

No comments:
Post a Comment