skip to main |
skip to sidebar
MSANII 2FACE ANUSURIKA KUFA, SOMA MKASA MZIMA HAPA
Msanii maarufu wa miondoko ya rnb nchibi nigeria yeye pamoja na abiria wengi walijikuta wakipata hali ya sintofaham baada ya kugundulika moja ya mlango wa ndege waliyokuwa wamepanda ulikua haujafungwa ....inadaiwa baada ya dakika 30 ndege kupaa akielezea tukio hilo ambpo msanii huyo alikua akisafiri kutoka Lagos kwenda Douala alisema..... ilikua nimemaliza kupata chakula katika hii ndege ndogo tuliyopanda na ndipo tukapewa signal kwamba moja ya mlango haujafungwa hivyo inabidi turudi lagos.. kiufupi nilipaniki lakini namshukuru mwenyezi mungu niko salama na naendelea ma shrghuri zangu kama kawaida ... alisema msanii huyo aliyetamba na ngoma kibao ikiwemo ile african queen iliyompa tuzo za kora music award
No comments:
Post a Comment