UKATILI:KIJANA ATUMIA JEMBE KUMUUA MAMA YAKO, HII IMETOKEA MKOANI SHINYANGA

Katika hali ya kusikitisha ,kuhuzunisha na isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Mwakuhenga wilayani Kahama mkoani Shinyanga amemuua mama yake kwa kumkata na jembe kichwani na kusababisha kifo chake.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger