skip to main |
skip to sidebar
"UKIWA MISS TANZANIA TU, BASI VIBOSILE WATAKUFUATA KILA MAHALI" HAYA NA MANENO YA MISS TZ
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ametoboa siri kuhusiana na
mapedeshee ambao wamekuwa wakiwapa usumbufu mkubwa kiasi cha kuonekana
ni janga la kitaifa kwa warembo.
Miss Tanzania 2011, Salha Israel.
Akizungumza na Ijumaa kwenye mahojiano maalum hivi karibuni ndani ya
ofisi za gazeti hili, Salha alikiri kuwepo kwa watu wenye nia mbaya
wanaotumia utajiri wao kujipatia wasichana hali inayosababisha kuichafua
Miss Tz.
“Kusema ukweli nilipokuwa kwenye shindano hili sikupata usumbufu sana ila baada ya kupata taji, usumbufu ukaanzia hapo.
“Nikawa
napigiwa simu na watu nisiowajua huku wengine wakitaka nionane nao,
nimekuwa nikiwakwepa ila ni wasumbufu mno,” alisema Salha aliyekuwa
ameongozana na wadogo zake Sabra na Samier.
No comments:
Post a Comment