Dereva
wa Gari aina ya Toyota hilux double Cabin lenye namba za usajili T 786
BMN Akiwa ameshika kiuno bila kufahamu cha kufanya mara baada ya
kuligonga gari dogo aina ya Toyota Mark II lenye namba za usajili T 476
BLZ kwenye makutano ya barabara ya Jamhuri na Moscow.
Gari
aina ya Toyota Hilux Double Cabin lenye namba za usajili T 786 BMN
likiwa limeligonga gari ya aina ya Mark II lenye namba za usajili T 476
BLZ katika makutano ya barabara ya Jamhuri na Moscow muda mfupi
uliopita.
Dereva
wa Gari aina ya Toyota hilux double Cabin lenye namba za usajili T 786
BMN Akiangalia jinsi gari yake na aliloligonga yalivyoharibika. Kama
kawaida mashahidi huwa hawakosekani katika matukio kama haya, Mwenye
Gari aina ya Toyota Hilux lililogonga
No comments:
Post a Comment