SINTAH ANIKA PICHA ZAKE ZA UTATA MTANDAONI, ZIANGALIE HAPA


Tuekuwa tukimzoea Sintah kutusaidia kufunguka au kuwapa makavu wale wadada wote wanaokuwa wanaacha maungo yao nje na kuweka picha katika mitandao ya kijamii.., Unapomnyooshea kidole kimoja mwenzako unasahau kama vidole vinne vinakuangalia ww, basi sinta alilisahau ilo. tazama picha 3 hapo chini kisha ufunguke Sintah anafaa kukosoa wenzake au na yeye ni wale wale watafuta kiki??

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger