Mwanzoni wakati Internet ilipokuja kwenye jamii ya watu wa Afrika, watu
wengi waliifurahia sababu ilisaidia kupunguza msongo wa huduma za
mawasiliano dunia nzima, pia iliwezesha kuboreka na kuonekana kwa
umuhimu wa mawasiliano kwa ujumla.Iliwasaidia watu wengi kuweza ku-chat,
kutuma mails na hata kusaidia katika shughuli mbalimbali za kibiashara.
Na kadiri muda ulivyozidi kwenda wasichana wengi walikuja kugundua
wanaweza kuitumia internet kwa ajili ya kuweza kuwapata marafiki wa
ku-chat au hata wenza wa maisha.
Baadhi ya wasichana wamefaidika kwa kiasi kikubwa kwa kuitumia internet
kuweza kuwapata watu wa kufunga nao ndoa au kuwa nao kimahusiano. Baadhi
wameingia kwenye mitego toka kwa watu wa nchi za Magharibi hadi kufikia
hatua kujuta kwa nini waliifahamu internet.
Hii hapa ni stori ya kweli inayomuhusisha msichana mmoja Mcameroon aliyefahamika kwa jina Elvire Axelle Tchamakoua.
NA HIVI NDIVYO ILIVYOTOKEA;
Axelle ni kahaba ambaye alikuwa akiuzwa kwa wanaume tofauti tofauti na
ambaye awali aliamini ndiyo kila kitu kwake jamaa aliyefahamika kwa jina
la Jean Claude (Mfanyabiashara wa Kifaransa). Hakujali kuwahudumia
wateja wake kwa huduma za mbele au nyuma. Kwake yeye matumizi ya condom
akiwa kazini ilikuwa haijalishi kwa maana iliwezesha yeye na huyo
mwanaume wake kuwa wanaingiza hela zaidi. Amekuwa akifanya kazi hii kwa
kitambo mpaka akawa ameizoea hali hiyo. Kitu cha kushangaza ni kwamba,
Exelle ni msichana mdogo mwenye umri wa miaka 24 na ana cheti cha
mafunzo ya mapambo na urembo. Iweje msichana mdogo kwenye umri wake awe
na tamaa ya kupata hela za haraka? Ni swali ambalo watu wengi wamekuwa
wakiuliza.
Kwa mujibu wa taarifa alikutana na huyo bosi wake, Jean Claude kwenye
mtandao mnamo mwezi Oktoba 2011. Walikuwa na chat za kawaida kama
ambavyo mtu mwengine yeyote anavyoweza kuwa anachat na mtu asiyemfahamu.
Jean Claude alimueleza msichana huyo kwamba yeye ni mfanyabiashara
anayeishi Marseille (Ufaransa) na ni mtu wa biashara za kuingia na
kutoka. Axelle ambaye alifikiri kwamba amepata mwanaume wa maisha yake
aliendeleza mawasiliano na Jean Claude Fayard na ilipofika mwezi Machi
2012 jamaa alikwenda kumtembelea msichna huyo kwao Cameroon. Kulikuwa na
sherehe kubwa kwenye makazi ya shangazi yake Axelle yaliyopo Santa
Barbara ndani ya jiji la Yaounde. Siku mbili tu alizokaa Cameroon, Jean
Claude akamchumbia Axelle na kumuoa kwa ndoa ya asili na ya Kanisani.
Ndoa zilifanyika tarehe 18 na 20 ya mwezi Machi 2012.
Jean Claude alifanya maandilizi yote ya safari kisha wote wawili
wakasafirina kwenda Ufaransa tarehe 21 Machi mwaka huo huo. Jamaa pia
aliwapa familia ya Axelle hela ya kutosha kwa ajili ya kujikimu. Ila
hawakujua kwamba walikuwa wanamuuza binti yao kwenye biashara ya Utumwa
wa ngono, familia kwa furaha na moyo mmoja ilibariki jambo hilo na
kuwaaga nao wakaelekea Ufaransa.
Ukweli juu ya mpango huu ni kwamba Jean Claude ni dalali wa biashara ya
ngono (pimp) ambaye huwa anakuja Afrika na kuchukua wasichana kisha
kuwapeleka kufanya utumwa wa kazi ngono nchini Ufaransa. Sababu Axelle
hakuwa anafahamu juu ya hili, hakika katu asingetamani hata kufahamua
internet ni nini maisha mwake. Kwani mara baada ya wawili hao kufika
nchini Ufaransa, waliishi kwenye kwenye mji uliojulikana kama Clermont
Ferrand kwa muda wa miezi 9 kabla ya kuhamia sehemu nyingine mpya
iliyojulikana kama Lourdes. Ni kwenye mji huu ambapo Axelle alikutana na
maisha magumu ambayo hakuwahi kuyafikiria maishani.
Siku chache baada ya kuwasili Lourdes, mwanaume mmoja aligonga hodi na
kuingia ndani akisema alihitaji kuonana na Jean Claude. Maskini Axelle
alichofahamu yeye ni kwamba, mgeni yule alikuwa ni mfanyabiashara
mwenzake na mume wake. Wakati Axelle akimuita mume wake huku akiwa
anamuangalia mgeni, alishtushwa na na kauli ya mume wake iliyomwambia
"fanya lolote ambalo mgeni atakutaka ufanye".
Siku chache baadae mara baada ya kutoka kazini, Jean Claude alimkalisha
chini Axelle kisha akampa masharti ya kazi. Alimueleza kwamba anatakiwa
kulipa hela zote alizotumia walipokuwa Cameroon. Alipiga mahesabu
yaliyozidi euro 3,000, na atafanya kazi naye kwa miaka miwili mbele.
Axelle ambaye ilikuwa haongei alihisi kama alikuwa anaota. Hali ilikuwa
mbaya zaidi kwani Jean Claude alikusanya kila kitu cha msichana huyo
vikiwemo vitu binafsi na dokumeti zake kisha akavificha. Pia msichana
huyo alizuiliwa kupiga simu ya aina yoyote nje.
Kila siku alikuwa na wateja wa kiume ambao walikuwa wanakuja kwa ajili
ya huduma za mbele na nyuma kwa muda wote walipohitaji huduma.
Aliamrishwa kufanya chochote wateja walichohitaji. Walikuwa hawatumii
kinga yoyote walipokuwa wakijamiiana. Siku moja Jean Claude alirudi
nyumbani akiwa na mteja aliyekuja na mbwa. Jamaa huyo ambaye alijulikana
kwa jina la Loiseau yeye aliweka hela ya malipo kwenye akaunti ya Jean
Claude. Axelle ambaye hakuwa anajua kama hili litatokea alisukumwa
kwenye chumba na kuamuriwa kufanya ngono na mbwa yule kitendo ambacho
alikifanya. Inasemwa kwamba Jean Claude huwa anatengeneza hela nyingi
pale Axelle anapofanya ngono na wanyama kitendo kilichofanya dili hizo
kuwa za kila siku.
Baada ya kuridhika kwa kuona msichana huyo keshaingiliwa na mbwa, Jean
Claude aliondoka na Mr Loiseau wakimuacha Axelle peke yake ndani. Baada
ya kujaribu kutoroka kwa mara kadhaa, msichana huyo alifanikiwa kuvunja
mlango na kukimbia mtaani ambapo alikutana na Wacameroon wenzake
waliokuwa wanaishi kwenye mji huo. Walimsaidia kumpeleka Ubalozini
ambapo aliwaelezea mkasa wote. Polisi nao kwa haraka wakafanikiwa kufika
nyumbani kwa Jean Claude ambapo walikuta ushahidi uliothibitisha kuwa
kweli alimteka msichana huyo pamoja na mashitaka mengine. Mara moja Jean
Claude alikamatwa huku akiwa anasubiri hukumu. Wakati huo Axell
alipanda ndege na kurudi nyumbani kwao Cameroon na moja kwa moja
alipelekwa hospitali kwa vipimo na matibabu zaidi.
Angalia vile ambavyo Internet inaweza kufanya kwa vijana wa nchi zetu, sio kila king'aacho ni dhahabu.
Wapendwa kaka na dada zangu, kama kuna mmoja kati ambaye angeweza
kuzisikia baadhi ya stori kusikitisha za Waafrika wanaokimbilia mataifa
ya wazungu, hakika sidhani kama mtu ataweza kutaka kimbilia huko pasipo
uhakika. Yote kwa yote nyumbani ni nyumbani hata kama serikali zetu na
wa wanasiasa hutuangusha.
Nini ambacho binafsi yako unafikiri juu ya hili, nahitaji mchango wako....
TAFADHALI USISAHAU KU-SHRE KWA FAMILIA NA MARAFIKI... UNAWEZA KUWA UNAOKOA MAISHA YA MTU
KWA MIKASA MINGI ZAIDI FUNGUA HAPA<<<https://www.facebook.com/pages/BONGO/475899065866363>>> NA UILIKE PAGE HII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment