
JANA katika Kipindi cha leo Tena Mwanadada Wema Sepetu Aliulizwa kwanini
Siku hizi ananenepa sana kiumbo na Mwanadada huyo mrembo alijibu moja
kwa moja kuwa ananenepa kwa sababu ana amani ya moyo kwa vile yupo na
mtu kimapenzi ampendaye kuliko wote duniani...
Nadhani wote mnamjua ni nani? Mapenzi raha Bwana asikwambie mtu ukimpata akupendaye na wewe anakupenda lazima unenepe.
No comments:
Post a Comment