WEMA ANENA MAZITO KUHUSU DIAMOND: MWACHENI DIAMOND ANIONEE WIVU KWANI NAMPA MAMBO MAKUBWA

STAA asiyekaukiwa habari Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa ‘anainjoi’ kuona mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anamuonea wivu kwani anaamini ndiyo penzi la dhati.
Wema Sepetu ‘Madam’.
Akifafanua hilo mbele ya kinasa sauti chetu, Wema alisema wivu kwake ni kipimo kikubwa cha kutambua Diamond anamzimikia kiasi gani.
“Baby (Diamond) anavyonionea wivu mimi ndiyo ananichanganya kabisa, najisikia faraja maana angekuwa hanionei wivu ningejua wazi sipendwi,” alisema Madam.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA Mdadisi MAMBO kwa habari za haraka na uhakika, like page yetu hapa<<www.facebook.com/pages/Mdadisi-MAMBO/592822657446613>>

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger