Akizungumza
na Mpekuzi wetu,Aunty Lulu alisema katika siku ya tukio ni
kweli alitaka kwenda kupata raha mwenyewe kwenye moja ya klabu
za starehe usiku na alimpa taarifa jamaa yake huyo lakini
akamgomea kwenda kwani alihisi angeenda kumsaliti....
Msanii
huyo aliendelea kusema kuwa jamaa yake huyo ana wivu balaa na
hilo limekuwa likimpa shida kwani wakati mwingine anashindwa
kuongea na wanaume ambao mpenzi wake hawafahamu maana huwa
anahisi ni hawala zake....


No comments:
Post a Comment