AUDIO: MSIKILIZE FELA AKIZUNGUMZIA SUALA LA NISHA KUTOPAFOMU USIKU WA TUZO ZA KILI

 
Usiku wa utoaji wa tuzo za Kili Music Awards Jumamosi iliyopita katika ukumbi wa Mlimani City,Dar msanii Sara Kaisi ‘shaa’ alitakiwa kupafomu, lakini mpaka muda unafika msanii huyo alikuwa hajatokea pande hizo ingawa madansa wake walikuwepo ukumbini hapo kwa ajili ya kupafomu.Clouds fm imepiga stori na meneja wa Shaa, Mkubwa Fela amefunguka ni kitu gani kilimtokea msanii huyo. 
MSIKILIZE HAPA

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger