BASI LAPATA AJALI MOMBO NA KUJERUHI KADHAA

Ajali imetokea mombo leo hii. Coastal iliyoanguka ilikuwa na watu 25, Mungu kasaidia hakuna aliyekufa. Hongereni sana madaktari wa Magunga kwa kazi nzuri! - Mkuu wa wilaya ya Lushoto, Mrisho Gambo. 


No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger