CATHY: KUIGIZA KWANGU NDIO KILA KITU

Stori:Andrew Carlos
MKONGWE wa filamu kutoka Bongowood, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa hataacha kuigiza mpaka siku anaingia kaburini.
Mkongwe wa filamu kutoka Bongowood, Sabrina Rupia ‘Cathy’ 
Akipiga stori mbilitatu na mwandishi wetu, Cathy ambaye aliyetamba na Tamthiliya ya Simu ya Mkononi alimshukuru mumewe kwa kumpa sapoti mpaka alipofikia.
“Kwenye filamu imeanza kuigiza toka sini za watoto, vijana na sasa naelekea kuigiza kasti za kizee, siwezi kuacha mpaka nife,” alisema.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger