RAIS wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel
‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ hakustahili
kuwa mkewe licha ya kwamba walizaa naye mtoto mmoja.
Akizungumza na
Global TV Online hivi karibuni, Chaz Baba alisema Sajent ni mwanamke
mzuri lakini hana vigezo vya kuolewa na yeye kwani wote ni maarufu.
“Nilikuwa nampenda sana Sajent ila nilishindwa kumuoa kutokana na
umaarufu wake ambao ulimnyima sifa ya kuolewa na mimi maana wote ni
mastaa ingekuwa shida huko mbeleni,” alisema Chaz Baba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment