DAR EXPRESS LAPINDUKA MKOANI PWANI


Ajali imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam.. gari ni kampuni ya dar express iliyokua ikielekea nairobi..
wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache ambao haijalikana bado kama kuna aliyekufa...

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger