Dereva
wa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini jina lake halikupatikana alitumbukia
katika gema la uwanja wa Mwembetogwa mjini na kusababisha hali hiyo
kupata itilafu kidogo
Hapa vijana wa Chadema wakisaidia kuchimbua eneo hilo ili gari hiyo itoke
waliendelea na jitihada hizo mpaka wakafanikiwa

No comments:
Post a Comment