MAJAMBAZI WAMJERUHI DEREVA NA KUPORWA GARI LA MAFUTA





Dereva wa gari la mafuta lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Karatu Stefano John (42) akiwa amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambapo waliondoka na gari hilo aina ya Scania lenye namba za usajili T 116 BKQ na tela namba T 959 AVH likiwa na lita elfu 40,000 za mafuta aina ya petroli.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger