
Kwa ukaribu zaidi ni damu ya muhudumu wa rest house Bi. Bernadeta Alfred aliyelipukiwa na bomu lililowekwa kwenye kifurushi alichokifungua ili kubaini kilichokuwa ndani.

Hali tete.

Kishindo kikubwa kilitokea na kutoa sauti kubwa na moshi huku kikisambaza misumari mingi midogomidogo na kujeruhi vibaya mhudumu huyo hasa sehemu za miguuni na usoni.
No comments:
Post a Comment