NEY WA MITEGO AAMUA KUNUNUA GARI JIPYA LA BEI MBAYA




Kupitia twitter Msanii Ney Wa Mitego amenishtua kuwa kanunua gari jipya na hii picha ndio ushaidi halisi. Hii ni mara ya pili Ney kununua Mack X Mpya, Ni gari ambayo wanatembelea mastaa kama Mwana FA, Ommy Dimpoz na Mtangazaji B12.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger