ANGALIA PICHA KALI ZA MAANDALIZI YA MWISHO ZA TUZO ZA MTV BASE
Diamond akiwa kwenye sehemu tofauti mjini Durban, Afrika Kusini akiwa kwenye matayarisho ya Tuzo za MTV MAMAs.
Fainali za tuzo za MTV MAMAs zikifanyika siku ya leo Jumamosi June 7, 2014 mjini Durban, Afrika Kusini huku Bongo ikiwakilishwa na Diamond Platinum, kituo cha runinga cha MTV Base (DStv Channel 322) na MTV (DStv Channel 130) zitaonyesha fainali hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment