skip to main |
skip to sidebar
BONGO MUVI HALI SI SHWARI, MSANII MWINGINE MAHUTUTI HOSPITALI
Msanii
wa bongo movies ambaye ni mzazi mwenzie na muimbaji wa dansi Chaz Baba,
Sajenti hivi majuzi alilazwa na alikuwa katika hali mbaya lakini kwa
uwezo wa Mungu na dua watu alifanikiwa kupona na sasa anaendelea vizuri.
No comments:
Post a Comment