skip to main |
skip to sidebar
BRAZIL WAANZA VIZURI MASSHINDANO YA KOMBE LA DUNIA, YAIFUNGA CROATIA TATU KWA MOJA (3-1)
Kama kawaida historia imeendelea kubaki kuwa Brazil hajawai kufungwa katika mechi za ufunguzi.
Hiyo imedhihirika leo baada ya Kumfunga Croatia magoli matatu yaliyofungwa na Neymar 29', 71',
na Oscar 90'+ huku lile la CRoatia likifungwa na Masello baada ya kuzidiwa.
No comments:
Post a Comment