Akizungumza siku moja kabla ya mazishi ya aliyekuwa msanii wa filamu, Sheila Haule ‘Recho’, Cloud alisema baadhi ya wasanii wa kike wamekuwa na tabia ya kulia kinafiki kwenye misiba.
“Sitaki
kwenye mazishi ya Recho kumuona msanii yoyote akijiangusha baada ya
kuona kamera za waandishi eti wamezimia jamani tuwe wastaarabu na kama
ukilia uwe unaumia kweli lakini siyo kinafiki kwani wasanii wa kike
wamekuwa na tabia ya kujiangusha huku wakiwaomba marafiki zao
wawaangalizie simu zao,” alisema Cloud.


No comments:
Post a Comment