DEMU WA YOUNG KILLER AGEUZA NOTI ZA ELFU KUMI SHUKA LA KULALIA

Unaposaini mkataba wa kufanya show na Kili Music Tour, hakuna wasiwasi kuwa milioni nyingi zitaingia kwenye akaunti yako.

Mavuno ya mzee?

Na hakuna kitu kizuri kufurahia pesa iliyoipata kama kumpa mwandani wako azishike na kuzichezea atakavyo.

Sabuni ya roho

Ndio maana Young Killer (kwa inavyoaminika kutokana na picha) aliamua kumpa mrembo wake, Halimaty vitita kadhaa alivyovigeuza kama shuka la kulalia.10375706_696451317084034_115361789_n

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger