skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND PLATINUMZ, WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIEL NDANI YA NDEGE KWENDA SOUTH AFRIKA
Diamond, Wema na Aunty Ezekiel safarini South Africa kwenye tuzo za MTV Africa Music Awards...
Kupitia Instagram yake Diamond ameandika:"Asante sana @fastjetofficial
kwa kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea
kwenye Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa.. hakika nyinyi ni Mfano
Bora.. Kama Hauna Taarifa bado, Kampuni ya Fast jest sasa imeanzisha
huduma mpya ya kutoka Tanzania hadi South Africa....
KAMA BADO HUAMINI HUYU JAMAA ANATISHA.
INGIA HAPA UFUNGUKE
No comments:
Post a Comment