Ukitaka
kujisikia raha kwenye mashamsham ya godoro, lazima ujue mengi. Mapenzi
ni matamu sana iwapo unakutana na mwenzio mwenye kujua mapenzi, nasema
hivyo kwasababu kumekuwa na malalamiko ya wanawake na wanaume
wakilalamika kutoyafurahia mapenzi ya wapenzi wao. Kwanini usiyafurahie
mapenzi ya mwandani wako,hebu jiulize ana matatizo gani?.Hakupendi ila
analazimisha?.Maana kuna mwanaume mwingine kama hakupendi bwana
kukuridhisha huwa tabu sana, labda avute hisia kutoka kwa yule ampendae
lakini hivi hivi utaambulia patupu.Mwingine ni mvivu au hajui namna ya
kumpenda mtu?. Looh, usishangae ukasikia mwanamke akisema jamaa yake
akiingia uwanjani humaliza mpira kabla ya dakika tisini, ni mcheza
kiungo hatari ambaye hana pumzi, dakika mbili hoi amemaliza mechi ya
kwanza.Ukimbembeleza arudi jimbani anaanza kutoa visingizio lukuki,
anaweza kutoa sababu kwamba anawahi sehemu muhimu, au atapiga simu
akijaribu kutengeneza sababu ya kukutoka.
Kama wewe ni mwanamke
ama mwanaume, huyo uliyosema unakutana nae faragha hakikisha unampenda
sana, sio unampenda ilimradi amekuambia anakupenda, unajua kuulazimisha
moyo useme uwongo ni ulimbukeni wa mapenzi kwani hutamfanya mwenzio
akayafurahia Vitumbua vya nyama au Soseji.
Sasa
basi, nataka nikufahamishe jinsi ya kutaka kuyafurahia mapenzi, ukiwa
na mwenzako chumbani kabla ya kuingia dimbani, hakikisha kwamba
mmejindaa kwa mechi, na kila mtu awe na hamu na nia ya kufunga mabao ya
nguvu. Kabla ya kuingia uwanjani, wewe kama ni mwanamke unaweza kuja na
Choculate nzuri ya baridi. Unaweza kununua ya maziwa, ya machungwa, ya
mananasi,nk.
Kabla ya kunyonyana
ndimi, unanawa mikono yako inakuwa safi kabisa, ukisha hakikisha mikono
misafi, unapaswa kummegea mwenzio kipande kidogo cha Choculate ambacho
utamlisha huku ukitabasamu kwa raha zako.Weee! mwanamke ameumbwa na
tabasamu dear. Sasa usimbanie mwenzio kumzawadia tabasamu laini kama ute
wa yai najepesi kama pamba. Wakati unamlisha
mweleze maneno mazuri ya mapenzi, unaweza kutumia lungha ambayo
ataielewa vizuri, kama anajua. Akiwa anajua kizungu, Mwambie huku
ukimwagia tabasamu," I beg you to love me the way you loved no one else"
Kwa kiswahili, unaweza ukatumia maneno haya, "Nakupenda, naomba unipende ambavyo hujawahi kupenda daima maishani mwako"
Ukimaliza nadhani hata
yeye atasema, "Nakupenda, na nakuahidi sitokusaliti"Ukimaliza kumlisha
mpatie ile chuculate ili nae akumegee kipande kidogo na akulishe kwa
kutumia njia uliyotumia wewe. Ukishamaliza, kupeana choculate, unaweza
kuasha kuila ile choculate kwa kuimumunya taratibu kutumia ndimi zetu.
Vipi, unaonaje hapo? Sasa tulia huu ni mwanzo, nitakupa vitu vikali mshikaji wangu!!!!
No comments:
Post a Comment