HII NDIO KUFURU NA WATU WALIVYOMWAGIKA WAKATI WA UZINDUZI WA DODOMA CARNIVAL, NI SHIDA FULL BUNYEROBUNYERO


Dj Kipaso toka Dodoma Carnival nae aliongea yake machache

Mkurugenzi wa Dodoma Carnival alitoa yake machache na kuwakaribisa watu wote wa Dodoma kufika pale kwani ndo kiwanja kinachokimbiza kwa sasa hapa Dodoma.

Shabiki alipanda jukwaani kuonesha uwezo wake…ilikuwa ni shiiiiiiiidaaaaa……

Shabiki Elibariki au Osama Mweusi kama alivyopewa jina hilo hapo jana alipanda na kuonesha yake.


Boss Ngasa nae alikuwepo

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger