Mitaani
kumekua na vichekesho vingi sana vinavyotungwa ingawa kwa hiki sijajua
kilikuwa ni live au watu waliamua kujirekodi ili kuwacheksha watu.hiki kinavyoelezea ni namna promota huyu wa Morogoro alipompigia simu mshkaji aneishi Dar ili amuunganishe na Diamond kwa ajili ya kufanya show, yani jamaa kapiga simu kwa lengo la kumcheki Diamond ili apige nae show.
SIKILIZA MWENYEWE HAPA

No comments:
Post a Comment