Kijana huyo alikuwa akikimbilia na kudandia magari yaliyokuwa yanapita barabarani bila kuogopa chochote, jambo ambalo liliwachanganya madereva.
Hata hivyo, vijana wenzake walioonekana kumfahamu walimkamata na kumpeleka kusikojulikana kwa ajili ya usalama wake.

No comments:
Post a Comment