Leo katika pitapita kwenye kurasa za WAREMBO huko INSTAGRAM...nimekutana na hichi kiatu cha mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-LYINN..kiudaku udaku nikaona ngoja ni GUGO bei ya hiki kiatu....Duh kucheki bei yake nikachoka mwenyewe...ni zaidi ya gari aina ya VITZ (USED lakini..hizi ndio wabongo wengi tunazimudu)....Hehehe sio ishu yote maisha...ni zaidi ya shilingi Milioni Tatu na Nusu (ONLINE) na hapo bado haujaletewa...Kumbuka hiki nikiatu tu, bado gauni, pochi...nywele....nk...Dah huyu si anatembe na M-KUMI kabisa.... Jionee mwenyewe hapa
Kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM alikuwa ameweka picha hii:
Nakuandika:Remember the Zannoti gladiator sandals that I wanted so much??������ #zannoti
Nika GUGO hii kitu .

Haya sasa mcheki mwenyewe hapa!!| hapa yupo na Faraja |
| Hapa yupo na Nancy, Faraja na Odemba |
Nikatuta hakuna USED VITZ zinaanzia Dola 900 ha 2000+...wakati kiatu cha mama huyu ni Dola 2295

No comments:
Post a Comment