MAZISHI YA MZEE SMALL KUFANYIKA KESHO MAKABURI YA SEGEREA



Mzee Small enzi za uhai wake akibadilishana mawazo na Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally.
MWILI wa msanii mkongwe wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ utazikwa kesho saa 10 jioni katika makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam. Marehemu Mzee Small alifariki dunia jana usiku akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger