“Baadaye alinipitia ofisini kurudi nyumbani. Nilimkuta binti mlalamikaji akiwa hana raha na hali siyo nzuri, nilimuuliza tatizo ni nini hakuniambia.
“Ilipofika Jumapili nilimwambia mume
wangu twende kanisani lakini alikataa, nilimuomba ufunguo wa gari ili
mimi niende na familia, akagoma. Ndipo ugomvi ulipoanzia, nilimuuliza
umekuwaje? Mbona uko hivi? Au umechanganyikiwa? Alinijibu anataka
aondoke aniache na familia.
“Baadaye akabadilika, akasema hapana haiwezekani yeye akaondoka, bali mimi ndiyo niondoke.”

ATISHIWA KUCHINJWA
“Nilimuomba tuwaite watu wazima ili waje kutupatanisha, akaniambia nikiondoka kwenda kutafuta watu atanichinja.

“Niliamua kuachana naye, nilimpigia simu
rafiki yangu mmoja aje anipitie na gari kwenda kanisani, lakini huyo
rafiki yangu alipita na kuniambia kuwa amepata dharura hivyo
asingenipeleka kanisani.
“Nikamrudia mume wangu na kumwambia mbona kama umerogwa? Akasema ndiyo amerogwa, nikamwambia twende kanisani ukaombewe, akakataa. Matokeo yake akanikaba shingoni mpaka nikashindwa kuongea.

Nikamwambia unaniua ndipo akaniachia.
“Nilichukua gari la watu na familia yangu tukaenda kanisani. Kufika kanisani nilimweleza Mchungaji Gwajima tatizo lililonipata, akaniambia nirudi tu nyumbani kama hali itakuwa mbaya ataangalia cha kufanya.

“Baada ya ibada nilimwambia mdogo wangu arudi nyumbani na watoto, mimi nikaenda kukaa mahali nikiwaza cha kufanya.”
BINTI AMPIGIA SIMU
“Ilipofika kesho yake (Jumatatu) nikapigiwa simu na yule binti akidai anaondoka nyumbani kwa sababu shemeji yake amemdhalilisha sana. Nilimwambia asiondoke kuna mtu atakwenda kumchukua mchana kumleta nilipokuwa.

“Alipoletwa
nilishangaa kumkuta katika hali ambayo hawezi kutembea sawasawa.
Nikamuuliza vipi? Ndipo akanielezea jinsi mume wangu alivyomfanyia.”
BINTI AENDA HOSPITALI
Flora aliendelea kusema kuwa, binti mwenyewe aliamua kwamba anakwenda hospitali kucheki afya. Akasindikizwa na mdogo wake Flora. Kule vipimo vilionesha kweli aliingiliwa kimwili. Madaktari walimshauri aende polisi.

“Ndipo akaenda polisi na kutoa maelezo na kuandikiwa faili ambapo mume wangu akawa anatafutwa.
“Mume wangu amekuwa akisambaza habari kwamba nina mwanaume sijui nani! Hicho kitu hakipo. Hata mwaka jana nilikwenda Uingereza lakini tulikuwa wote.”

KUHUSU KUWA NA PESA, MTOTO KULIPIWA ADA
Kuhusu madai kwamba mtoto amelipiwa ada, yeye hana pesa, Flora alisema:
“Pale kanisani waumini walipojua nina matatizo na mume wangu na sipo nyumbani, walipitisha harambee ambapo niliweza kupata shilingi milioni tisa ndiyo maana mtoto akaenda shule na mimi nikabaki na za matumizi maana kila kitu kuhusu akaunti ya benki anakijua mume wangu.”

MBASHA AOMBA KESI IFUTWE
“Mume wangu aliniomba msamaha baada ya haya mambo kutokea, nimemsamehe. Aliniomba nifute kesi polisi, nikamwambia si mimi niliyepeleka kesi polisi. Mimi siwezi kumsaliti yeye, kwanza nampenda sana Mungu kisha yeye.”

AKUTWA AMEVUA PETE YA NDOA
Uwazi lilimkuta Flora akiwa hana ile pete ya ndoa iliyozoeleka kuwepo kwenye kidole chake. Alipoulizwa alisema hakuna uhusiano wa pete kutokuwepo kidoleni na ugomvi.

FAMILIA YACHAFUKA
Mwimbaji huyo alikwenda mbele zaidi kwa kusema kwamba ugomvi kati yake na mume wake umesababisha familia kuchafuka maana umekuwa gumzo katika kila kona ya mtaa.

No comments:
Post a Comment