MGOMO BARIDI WA USAFIRI DAR ES SALAAM, HII NI BAADA YA DALADALA KUZUIWA KUTUMIA KITUO CHA MWENGE

 Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita kituo cha Mwenge jijini Dar es salaam bila kusimama, ikiwa ni siku ya kwanza wasafirishaji hao kuamriwa kutumia kituo cha Makumbusho ambacho inaelekea hawaafiki.
 Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote
 Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi kikiwa Kitupu Muda huu
 Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja
 Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge
 Eneo ambalo Daladala zilikuwa nyingi sasa hakuna tena mabasi hayo

 Bajaji zikiendelea na Kazi.Picha na Dar es salaam yetu blog

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger