MSANII WA BONGO MOVIE ANASWA ARUSHA AKIFANYA MAMBO YA CHUMBANI, NI SHIDAA
Mdadisi wetu aliyekuwa mkoa wa arusha amemnasa masanii wa bongo movie ambaye maskani yake ni dodoma, ni mwanadada bonge yule alishiriki maisha plus ambaye kwa sasa anaandaa muvi yake mwenye, ni efrancya mangi ambaye alinaswa akiwa na mwanaume ambaye inasadikika ni mchumba wake wakijivinjari bila uwoga kwa mabusu moto moto huku wakidendeka live bila hapa uwoga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment