Floyd
Mayweather Jnr, akiwa katika gari lake aina ya Bugatti Vevron lenye
thamani ya pauni milioni 1.8 ( sh bilioni 5) akiondoka katika Fainali
za Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Marekani (NBA) huko Miami, Marekani.
Akiwa na mkwanja wakati anaondoka katika fainali za Ligi ya NBA.
…Akiwa na mwanamuziki Justin Bieber, baada ya kumtwanga Canelo Alvare.
Akiwa katika moja ya mapigano yake aliyoshinda.
Mayweather juzikati ‘alitengeneza dola milioni 105 (sh bilioni 1.7).
baada ya mapigano yake mawili ya mwisho ambapo Ronaldo ana utajiri wa dola milioni 80.
baada ya mapigano yake mawili ya mwisho ambapo Ronaldo ana utajiri wa dola milioni 80.
Kwa mujibu wa jarida la Forbes la mwaka
2013 Mayweather ambaye ameshinda mapigano yake yote 46, ‘alitengeneza’
fedha hiyo baada ya kuwatwangilia mbali mabondia Saul ‘Canelo’Alvarez
na Marcos Maidana katika mapambano hayo ya mwishoni na kushika nafasi ya
kwanza kwa mkwanja miongoni mwa wanamichezo duniani.
Kwa vidokezo tu, miongoni mwa wanamichezo
wenye mkwanja mkali duniani ni mcheza mpira wa kikapu Kobe Bryant wa
Marekani, wacheza tenisi Serena Williams na Maria Sharapova.

No comments:
Post a Comment