Muigizaji
mkongwe hapa nchini,said ngamba maarufu kwa jila la mzee small amefariki dunia
usiku wa leo katika hospitali ya taifa muhimbili alikokuwa amelazwa akipatiwa
matibabu.
Akithibitisha
taarifa ya kifo cha mzee small,mwanae aitwae mahmoud amesema mzee wake amefikwa
na mauti hayo majira ya saa nne usiku wakati akiwa hospitalini hapo akiendelea
kupatiwa matibabu.
Mipango
inafanyika nyumbani kwao tabata na kadri taarifa zitakavyokuwa zikitufikia
tutaendelea kujulishana.
Ni
pigo lingine tena kwenye tasnia ya sanaa baada ya kuondokewa na wasanii kadhaa
majuma yaliyopita.
Mdadisi wa Mambo blog imepokea taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana na inamuombea kwa
mwenyezimungu aiweke roho yake mahala pema peponi.
No comments:
Post a Comment