“Namshukuru Mungu kwa kunipa ujasiri katika kulikubali suala hili ingawa linanitesa sana,” alisema Odama.
ODAMA AMTESA NA PICHA ZA RECHO
STAA wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ anateswa na picha alizopiga na rafiki yake kipenzi, marehemu Sheila Haule ‘Recho’.
Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ akiwa kwenye picha ya pamoja na marehemu Recho Haule.
Picha hizo zinamuonesha Odama akiwa katika pozi tofauti ndani ya
viwanja mbalimbali vya starehe kitu kinachomfanya kutamani kuzifuta zote
katika simu yake.
“Namshukuru Mungu kwa kunipa ujasiri katika kulikubali suala hili ingawa linanitesa sana,” alisema Odama.
“Namshukuru Mungu kwa kunipa ujasiri katika kulikubali suala hili ingawa linanitesa sana,” alisema Odama.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment